Zijue cruise missiles za Iran

Hili kombora limetokana na teknolojia ya Urusi ya Kisovieti ya kombora aina ya Kh-55 ambayo wayukraine waliwauzia serikali ya Iran kinyemela miaka ya 2000. Wenyewe walianza kwa kuliita Soumar Missile na inasemekana lina uwezo wa kubeba silaha za nyuklia (Nuclear Warheads) ndani na lile la masafa marefu linaweza kufika umbali wa kilomita 2500-3000: Ndiyo maana majirani zake wanamuona kama tishio.
 
Ana uwezo wa kuiondoa israel na saudia kwenye uso wa dunia tukasahau kama kulikua na nchi zenye majina hayo
 
Missile alizonazo especially zile za russioa alizouIwa na ukraine plus russia wenyewe
Plus ameadvance sana thats why israel anamshawishi mmarekani the best way is to attack iran now otherwise huko mbeleni itakua dizaster
Kivipi mkuu, hebu tiririka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…