Zifahamu nyota 28 katika mfumo wa kihindi

Realboynicky

Senior Member
Mar 31, 2023
134
230
Wahindi wamezigawa nyota katika makundi 28 hii ni kutokana na mahali mwezi ulipokuwa pindi mtu anazaliwa. Yani katika siku moja ni nyota zinatofautiana masaa tu. Na nyota zenyewe ni
1.aswini
2.bharani
3.krittika
4.rohini
5.mrigashira
6.ardra
7.purnavasu
8.pushyami
9.Ashlesha
10.magha
11.purvaphalguni
12.Uttaraphalguni
13.Hasta
14.Chitra
15.Swati
16.Vishaka
17.anurandha
18.jyeshta
19.Mula
20.purvashadha
21.uttarashadha
22.sravana
23.dhanista
24.satabishak
25.purvabhadrapada
26.Uttarabhadra pada
27.Revati
Halafu kuna hii special ambayo ni ndogo sana ipo katikakati ya utarashadha na sravana ndio ya 28.

Katika hizi nyota kuna zinazopatana na zisizo patana. Mfano wakutanapo nyota zinazofanana basi huelewana kwa mambo mengi sana lakini wakikutana watu wenye nyota kinzani basi hata wafanye nini hawawezi patana.

Nyota zinazopatana

Aswini +satabishak
Bharani +revati
Rohini + mrigashira
Ardra + mula
Pushyami +krittika
Purnavasu +Ashlesha
Magha +Porvashadha
Uttaraphalguni +uttarabhadra
Hasta + swati
Chitra + Vishaka
Anurandha + jyeshta
Porvashadha + sravana
Uttarashadha +abhijit
Dhanista +porvabhadra

Zisizopatana

Aswini-jyeshta
Bharani-anurandha
Krittika-vishaka
Rohini-swati
Mrigashira-abhijit
Ardra-sravana
Purnavasu-uttarashadha
Pushyami-Porvashadha
Ashlesha-mula
Magha-Revati
Porvaphalguni-uttarabhadra
Uttaraphalguni-purvabhadra
Hasta-satabishak

Kila nyota inamaelezo ya maisha ya kila mtu mwenye nyota hiyo. Hivyo ni rahisi kujua maisha ya mtu ukitambua nyota yake

Unaweza kuwatambua watu wenye nyota flani kwa muonekano wao kwani watu wenye nyota mmoja hufanana kimuonekano wa maumbile ya ndani na nje……itaendelea
 
Back
Top Bottom