Zifahamu Engine oil

Nilitumia Castrol 5W30 Magnatec kukawa na rattle sound hasa ikitembea umbali flani inaanza. Nikaweka Castrol 10W40 GTX Ultra Clean huo mlio ukaondoka. Imekaaje kitaalamu?
 
Nilitumia Castrol 5W30 Magnatec kukawa na rattle sound hasa ikitembea umbali flani inaanza. Nikaweka Castrol 10W40 GTX Ultra Clean huo mlio ukaondoka. Imekaaje kitaalamu?
Aisee hapo inawezekana gari imeanza kuzeeka.. Inahitaji oil nzito..
5w30 ni nyepesi sana kwa gari za zamani..!
 
Unaoatikana wapi chief
 
Hii una solve vipi kama chanzo ilikua ni wrong oil?
 
Halafu mafundi wetu ni wabishi sana!!
 
Ni oil gani nzuri kwa subaru forester ya mwaka 2012
 
Naomba kujua Engine oil ya Toyota Ractis 1NZ 1496 CC.
Recommended Oil ni Ipi? Na Oil filter ipi ndio Nzur kwa Gari hiyo.
 
Swala la Oil ni mtambuka sana hapa Bongo ila user manual mfano ya Gari yangu inasema 5w 30 au 10w 30 ikiwa ya kwanza haipatikani, na hakuna cha Km zikifika 100k hamia namba kubwa.

Kingine ukija kwa kampuni kama Total wana oil karibia za aina Tisa za 5w 30 japo Bongo nyingi zipo za NFC 9000 ambazo zinafata requirements za Ford! Kuna Total 5w 30 ya long life recommended by VW ambayo inaenda zaidi ya 30,000km per change.

kimsingi Naona tufate recommendations za Engine manufacturers kwa sababu watengenezaji wa Oil wenyewe hawajaspecify km wanakwambia follow your vehicle user manual!

Soma exctract kutoka total hapa chini...

We are presenting exemplary types of TotalEnergies oils within one viscosity class 5W-30. They are 7 different products which extremely significantly differ in terms of their use.

Quartz INEO Long Life 5W-30 – a product created for the demanding type approval of VW 504.00 and 507.00, which allows to achieve mileage of 30 000km. The oil with a large reserve goes beyond the manufacturer’s requirements in terms of protection of cooperating elements of the engine, such as cams, sleeves. It also maintains the unit in ideally clean condition. Thanks to its composition of the base, it can even reduce consumption of oil in VW engines.

Quartz INEO MDC 5W-30 – has the highest norm for Diesel EURO 6 engines in Mercedes type BLUE-TEC, additionally fulfils the latest standard of OPEL OV0401547 exceeding the requirements of Dexos 2. It is also recommended by Hyundai/KIA.

Quartz INEO ECS 5W-30 – an oil made to meet the requirements of Peugeot-Citroen for petrol and Diesel Euro 4 and 5 engines.

Quartz INEO R-Plus 5W-30 – special composition allows to meet the latest standard of Renault RN 17 for petrol and Diesel EURO 6 and 6d engines.

Quartz INEO C4 5W-30 – special composition with reduced ash content and increased quantity of phosphorous additives to ensure longer exploitation of dry DPFs and diesel engines of Renault before 2018.

Quartz 9000 NFC 5W-30 – a product created to meet the requirements of FORD 913D standard for petrol and diesel Euro 4 engines. Large pressure was put on energy efficiency of the oil.

Quartz 9000 Future FGC 5W-30 – special composition of the base and additives to meet the requirements of the latest GM Dexos 1 gen 3 standard. It has been designed for petrol GM engines with supercharge and direct injection. It reduces the LSPI phenomenon, decreases the formation of high-temperature deposits, has a positive influence on cleanness of rings and a turbo-supercharger.

“While choosing an oil for your car, you had better be guided by the symbol of the relevant type-approval of a given engine manufacturer. The type-approval requirements are available in the car instruction manual, and the type-approval/admission symbols should be printed on the oil label”.

 
Passo 2010 Engine 1NR FE recommended oil ni 0w20 na Mimi nimeweka 5w40, je ni sahihi?
 
Passo 2010 Engine 1NR FE recommended oil ni 0w20 na Mimi nimeweka 5w40, je ni sahihi?
Waliorecommend ndio wataalamu waliotengeneza Engine, unakuja kuomba Msaada kwa Watanzania ambao hata baiskeli, hatutengenezi ? Stick to recommended Engine oil ukikosa tumia mbadala wake iliondikwa kwenye user manual at least 5W30, ila next oil change rudi kwenye Engine manufacturer recommended oil, achana na mafundi wa chini ya mwembe watakao kushauro Maoil mazito kama 5W40 , Engine ikiinza kufuka Moshi wanakupiga hela ya overhaul baada ya hapo wanakuuzia Engine mpya kimeo kutoka Ilala 😂 mimi nina 1NZ always natumia 5w30, nikiwa sehemu ambayo haipatikani natumia 10w30 Mwisho. Ila chaajabu kuna watu wanaweka Sae 40 huku wakijigamba hii ni Toyota, Kama ni Maengine ya Zamani miaka ya 90 sawa ila hizi za VVTi ni jambo la muda kitakulamba.
 
Asante mkuu ushauri
 
W-winter ,30 ni viscocity st high temperature, 5 ni viscocity at low temp

Since wabongo wengi wanatumia gari ndogo mostly ambazo ndio nyingi 0w-30, 0W-20, 5w-30( hii sio sana, ni kwa midsize SUV kama akina rav 4, suzuki, na wengine)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…