Ziara za Viongozi wa kitaifa mikoani

Ziara za Viongozi wa kitaifa mikoani

madatta

Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
23
Reaction score
2
Imekuwa kawaida viongozi wa kitaifa wanapotembelea mikoa na wilaya na maeneo mengine nje ya Dar es salaam, hii inakuwa faraja na furaha kwa sisi wa bara.

Issue inakuwa, ni kweli viongozi wanahitaji ulinzi na usalama wao, na pia shauku ya sisi wa bara kutaka kuwaona hao viongozi inapitiliza, tunakuja kwa wingi kupita nguvu ya polisi na ulizi uliopo.

Imekuwa kawaida ya polisi kublock njia ambazo ni mapito ya wakazi wa eneo husika, kiasi inaadhiri shughuri zao, basi hapo inapotokea mtu kakaidi, au hajui anapita hizo road blocks, balaa atakalolipata atasimulia wajukuu zake, watu wamepata ulemavu kwa kipigo cha polisi kisa kapita njia iliyoblokiwa!
Viongozi ni watanzania na hao wanaoenda kuwatembelea ni watanzania tena wakulima wa hali chini kabisa kwa nini itumike nguvu ya ziada kwadhibiti, Polisi wengi kupita kiasi watu wa usalama wa taifa do usiseme kila kona ya mji. Kiongo yuko eneo fulani mji mzima unakuwa blocked, Je nchi yetu ni hatarishi kwa viongozi wetu kiasi ulinzi unakuwa ni mwingi kiasi hiki...
 
Kiongozi wa kitaifa akipita kijijini ni mara au mbili kwa mwaka, muda unaotumika kwa ajili ya kuzuia barabara na kushiriki ni hardly saa 2-3. Kwa siku 365 za mwaka, ziara hizi hazina madhara yoyote ya kiuchumi
 
Back
Top Bottom