R Richruge Member Joined Jun 7, 2011 Posts 67 Reaction score 12 Jan 19, 2015 #21 Simiyu Yetu said: Jk ataendelea kubaki kwenye ubora wake kathubutu kaweza na sasa anasonga mbele safi sana jk chapa kazi watanzania tupo nawe pamoja sana. Click to expand... Acha kuhamisha mada wewe, jadili kilichwekwa jamvini kama wewe ni mzalendo kweli, ingekuwa mtihani na mimi ni mwalimu wako ningekupa -10 out of 10
Simiyu Yetu said: Jk ataendelea kubaki kwenye ubora wake kathubutu kaweza na sasa anasonga mbele safi sana jk chapa kazi watanzania tupo nawe pamoja sana. Click to expand... Acha kuhamisha mada wewe, jadili kilichwekwa jamvini kama wewe ni mzalendo kweli, ingekuwa mtihani na mimi ni mwalimu wako ningekupa -10 out of 10
S Sukula JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 1,198 Reaction score 452 Jan 19, 2015 #22 Tabby said: Umekosea, ungeandika UZURURAJI WA RAISI NA MADHARA YAKE. Click to expand... Ni kweli mkuu,huo ni uzururaji na umelitia hasara kubwa sn taifa letu.
Tabby said: Umekosea, ungeandika UZURURAJI WA RAISI NA MADHARA YAKE. Click to expand... Ni kweli mkuu,huo ni uzururaji na umelitia hasara kubwa sn taifa letu.
The mountain lion JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,153 Reaction score 418 Jan 19, 2015 #23 Hivi simiyu yetu una akili kweli?Naona unakurupuka tu from nowhere hata sidhani hata kama umeisoma thread vizuri.Unasikitisha sana na aibu huna kabisa dah buku saba mbaya sana.Wewe ni haini wa waziwazi kabisa.
Hivi simiyu yetu una akili kweli?Naona unakurupuka tu from nowhere hata sidhani hata kama umeisoma thread vizuri.Unasikitisha sana na aibu huna kabisa dah buku saba mbaya sana.Wewe ni haini wa waziwazi kabisa.