Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Lowassa is irrelevant kwenye siasa za Tz
Wanamuogopa atafunika maigizo yao. Wanazuia mikutano yake
Tafadhali ndugu zangu. Nimekuwa mbali na media nyingi juu ya ziara za aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward N. Lowassa.
Mwenye updates atupe.
Tafadhali ndugu zangu. Nimekuwa mbali na media nyingi juu ya ziara za aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na UKAWA, Mh. Edward N. Lowassa.
Mwenye updates atupe.
Wanasema kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza ..mzee kaona bora aingie mwenyewe kitaa. Asipoangalia usaha utamrukia naye