Ziara ya Mwenyekiti wa Chadema nchini Marekani

Ziara ya Mwenyekiti wa Chadema nchini Marekani

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
Bonyeza web kuskiliza maswala na majibu ya Watanzania wanao ishi USA
swahilivilla: Maswali na majibu na Dr Slaa Washington DC
[h=3]Maswali na majibu na Dr Slaa Washington DC[/h]
_DSC5158.JPG

Hii ni sehemu ya maswali na majibu ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, wakati alipomaliza hotoba yake ya Mkutano wa CHADEMA DMV pale alipozungumza na waTanzania waishio DMV mustakabali mzima wa Taifa letu, Siku ya Jumapili Sept 22, katika ukumbi wa Mirage uliopo Maryland Nchini Marekani.


_DSC5156.JPG

Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dr Wilbrod Slaa, wakati alipomaliza hotoba yake ya Mkutano wa CHADEMA DMV. (Picha zote na swahilivilla.blogspot.com)​



Karibu kusikiliza nasi


Posted by Abdul
 
Rekebisha kichwa ni Katibu mkuu sio mwenyekiti.
 
Hapa ndo akili ya BAVICHA huwa inaniacha hoi! Humjui hata mwenyekiti wako!
 
Hakuna dharau hapo. We anashindwa kutofautisha katibu/mwenyekiti hata kitambua picha kazi.


Mkuu huyo jamaa na mwenzake aliyeweka post hii ndio mamburula wa BAVICHA chini ya wale watembea na sumu,kama anaona sio hoja si angemwambia mwenzake arekebishe?!,tatizo la hawa hawa watoto akili zao ndogo sana.
 
Na wewe rekebisha sio "sio hata kitambua" ni "hata kutambua" UNATAKA UGOMVI WA MAWE WAKATI UKO NYUMBA YA VIOO
 
kama ulikuwa una maanisha hiyo picha basi siyo mwenyekiti bali katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo Dr.W.Peter Slaa.
 
Back
Top Bottom