Hawasogei hapa maana huyu Mama ni Mwiba kwenye Nyoyo zao.Nzuuuri hiyo watanyooka tu na mafisadi yao.
Unapaniki mapema hii, subiri October 25 ndio utakimbizwa hospitali kabisaa.Mbona kama wamelazimishwa?
Hawasogei hapa maana huyu Mama ni Mwiba kwenye Nyoyo zao.
Mbona kama wamelazimishwa?
Wananchi wakiwa na bango wakati wa mkutano wa kampeni za CCM wa Mama Samia, uliofanyika Oktoba 1, 2015, katika Viwanja vya Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
Mbona kama wamelazimishwa?
Kama idadi hii ndo mnatambia,basi ccm imechokwa.
Anaye tia huruma ni Juma Duni aliye kimbia.Jamani CCM wanatia huruma.