Wewe ni kaburu tu mwenye rangi nyeusiWaziri makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.
Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika,
Ukichunguza vizuri lazima utafahamu lengo la ziara hii ni kujitafutia umaarufu na kujisafisha katika mikoa inakofanyiwa ziara hiyo
Ukweli ni kuwa huyu bwana na kundi lao linachukiwa sana katika maeneo ya kanda ya ziwa kutokana na rumours za kundi lao kuhusishwa na kifo cha mtoto wa ukanda huo.
Kwakua hawa mabwana ni watu wa timing, ziara hii inafanyika kama njia ya kujisafisha katika kanda hiyo, na reason kubwa ni the fact kwamba ukanda huo kuwa ni ukanda wa kura nyingi.
Ni ngumu kujua alie nyuma ya ziara hii ni nani, sababu Makamba anaonekana kugawa mitungi ya makampuni tofauti tofauti. [emoji2417]
Hangaya alichemka kwa hili la nishati kumkabidhi mtoto wa.mlamba asali namba moja na ardhi kuikimbiza msoga. Hawa watu watatuuza mchana kweupeVyovyote vile, tisi ifutilie mbali kizazi cha paka kwa manufaa mapana ya ardhi yetu, la, wahuni wako bize
A strong man was killed by weak people [emoji23][emoji23][emoji23] ,basi tuseme they (were) are stronger than your man.They killed our strong man...they may go to hell.
Amewaambia kama chuki zimewajaa sana mumuue kuliko hizi vita za kitoto za midomoni.Waziri Makamba anaonekana akifanya ziara mikoa ya Kanda ya ziwa, akiwa na lengo la kutoa elimu ya nishati.
Lakini ukichunguza vizuri ziara hii ina agenda zaidi ya kinachofanyika.
Ukichunguza vizuri lazima utafahamu lengo la ziara hii ni kujitafutia umaarufu na kujisafisha katika mikoa inakofanyiwa ziara hiyo.
Ukweli ni kuwa huyu bwana na kundi lao linachukiwa sana katika maeneo ya kanda ya ziwa kutokana na rumours za kundi lao kuhusishwa na kifo cha mtoto wa ukanda huo.
Kwakua hawa mabwana ni watu wa timing, ziara hii inafanyika kama njia ya kujisafisha katika kanda hiyo, na reason kubwa ni the fact kwamba ukanda huo kuwa ni ukanda wa kura nyingi.
Ni ngumu kujua alie nyuma ya ziara hii ni nani, sababu Makamba anaonekana kugawa mitungi ya makampuni tofauti tofauti. [emoji2417]
Maumivu ya moyo tu. Jana imeshapita hawataki kukubali.Hizi ni hisia, mtazamo, uhalisia au tungo?
Jamaa wanamuandama Makamba utadhani wanamdai hela.ππππMaumivu ya moyo tu. Jana imeshapita hawataki kukubali.