Mr RoundAbout
Member
- Oct 6, 2023
- 74
- 89
Wakizoa viti vyote serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ndio utajua ziara zao hazivutii!Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wa ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto
Wananchi kweli wanaitaka chadema,ila haishindi kwenye kura,inashinda mitandaoni na kutukana.CCM Wananchi Hawaitaki Kabisa Ila Inatumia Ghiriba Fitna,Husda, Wizi
Mr RoundAbout,Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Mvuto mkuu ninao ujua ni wa ku solve tatizo la ajira nchini, Sera za ufanyaji wa biashara hasa Kodi nyingi. Unataka nivuti ya maigizo jukwaani? kuwaita vingozi wafanye maigizo majikwaani? Taifa limejaaa wajinga sana hili Mungu saidiaWajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Unamaanisha viongozi hawana mvuto? Mvuto upi? Wa matako kama haya?Wajamvi,
Mpaka sasa Viongozi wa CCM wana ziara mikoani Kwa Viki nzima Sasa. Lakini kinachoonekana ziara hii imekosa mvuto na haina utuatiliwaji wa kina na haina mvuto.
Nipe ripoti baada ya viongozi wote wa umma kukutana na Makonda, ni nini mumekipata baada ya ziara hiyo?Mr RoundAbout,
Habari za asubuhi.
Ziara za Makonda zilihusisha taasisi zote za umma,kwa maana ya magari na watumishi.
Nilishuhudia mwenyewe hapa Arusha magari ya wakurugenzi wa Wilaya zote Monduli,Longido,Karatu ,Arusha DC na Wilaya za mikoa jirani kama Kilimanjaro na Manyara.
Wakuu wa mashirika yote ya umma NHC,TANAPA,NCAA,AICC,TANESCO,AUWSA, KADCO,TFS,TAWA,TANROAD,TARURA,IAA,Nelson Mandela University,CARMATEC,VETA......Hawa wote walitoa magari,fedha na watumishi.
Ukiwa ni mtu makini utabaini kote alikopita
Makonda hata kama wananchi wa sehemu husika wangegoma kuhudhuria mikutano yako bado angepata nyomi la kutosha kwasababu taasisi moja inaweza kama Tanapa ilikuwa inatoa magari 10 mpaka 20 na watumishi wa vitengo mbali mbali kama 100 hivi.Ukijumlisha taasisi zote hakosi nyomi la watu 15,000 ukiweka na makauzu kama elfu 5,000 nyomi lazima litokee la kutosha.
Fuatilia ajili ya msafara wake huko kusini ni magari mangapi yalipata ajali ?.Ni fedha kiasi gani alikusanya huyu mtoto pendwa !.
Ziara za Makonda zililenga zaidi kumjenga yeye na poromosha taasisi zote za umma ikiwemo Mahakama.
Ziara za viongozi wa sasa zinakijenga zaidi chama na si mtu.