CUF suti wameshona?Wazanzibari anzeni kusherehekea ushindi wa M.Seif: M.Seif apata 50.06%
Dr.Shein:47.30
Asalamu alaykum haya ndio matokeo tulioyapata kutoka kwa tume ya uchaguzi:
JIMBO KUTOKA PEMBA
JIMBO LA OLE: CUF- 5775, CCM -893
JIMBO LA WETE: CUF-6317, CCM-1189
JIMBO LA GANDO: CUF-5239, CCM-884
JIMBO LA MTAMBWE: CUF 5415, CCM-307
JIMBO LA KOJANI: CUF-6262, CCM-562
MAJIMBO YA UNGUJA
JIMBO LA FUONI: CCM-6351, CUF-2797
JIMBO LA MTONI: CCM-3746,CUF-4852
JIMBO LA DIMANI:CCM 6225,CUF-4898
JIMBO LA KIEMBE SAMAKI:CCM2794,CUF-1141
JIMBO LA KWEREKWE: CCM-4338,CUF-2812
JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119
JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246
kanzu!CUF suti wameshona?
kanzu!
Namtafuta mtani Kibunango hapatikani
Nasikia Mwinyi na Mkapa wameshuka uko kuokoa Jahazi
Bado tunaendelea kusubili mkuu lakini Seif anang'aa Pemba kuliko Unguja
sasa wameenda kupiga kampeni wakati matokeo yameshatoka?Nasikia Mwinyi na Mkapa wameshuka uko kuokoa Jahazi
Sioni cha ajabu na matokeo ya Maalim Seif Kuwa presida wa Zenj maana tangu mwaka 1995 anashinda halafu thithiem wanachakachua. Kwa nilivyokuwa nafuatilia kampeni Shein hakuwa na mvuto kabisa, kushindwa yawezekana. Si wameshakubali serikali ya umoja, akubali matokeo atakuwa makamu, pengine ndicho cheo chake cha kustaafia Mungu amemtunuku!!! Ha ha ha siasa bwana.