Mgjd JF-Expert Member Joined Feb 19, 2012 Posts 532 Reaction score 133 Jun 14, 2012 #1 Kwa sisi tusiyo na uwezo wa kununua LED TV's,JE KUNA Mtu anayefahamu UBORA WA ZEC TV? Hasa matoleo ya kisasa ambazo hazina tube kubwa nyuma. Kwa ambaye anafahamu uzuri na mapungufu yake tafadhali tujuzane.
Kwa sisi tusiyo na uwezo wa kununua LED TV's,JE KUNA Mtu anayefahamu UBORA WA ZEC TV? Hasa matoleo ya kisasa ambazo hazina tube kubwa nyuma. Kwa ambaye anafahamu uzuri na mapungufu yake tafadhali tujuzane.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 Jun 14, 2012 #2 ZEC huwa wana products zenye ubora sana, pia waweza jaribu Singsung wana led tv zaukweli pia.