MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 254
Duh! Bi Kiroboto!!! Imenibidi nicheke sana, kile kibibi pale bungeni kimefanana haswa na Bi Kiroboto, muonekano mpaka tabia!! Hehe...Waziri mkuu kasema Rais kashaweka tiki mshiko wa Wabunge, Ikulu wanasema NOOO haijawa bado, Bibi Kiroboto na yeye Aongea..
Mganga mmoja amewachanganya vipimo hawaelewani mada.
hahahahahha, mpaka najisikia kushiiiiiiiii!!!!! nipishe
Duh! Bi Kiroboto!!! Imenibidi nicheke sana, kile kibibi pale bungeni kimefanana haswa na Bi Kiroboto, muonekano mpaka tabia!! Hehe...
Waziri mkuu kasema Rais kashaweka tiki mshiko wa Wabunge, Ikulu wanasema NOOO haijawa bado, Bibi Kiroboto na yeye Aongea..
Mganga mmoja amewachanganya vipimo hawaelewani mada.
hahahahahha, mpaka najisikia kushiiiiiiiii!!!!! nipishe
hivi mnaojiita great thinkers hata ze comedy mnaangalia, kumbe ndio maana magazeti yenye soko zaidi hapa tz ni ya udaku, hivi tunajenga taifa gani kizazi hiki.