Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
mzee mbona hukuitwa wewe kwenba BB4 kuwakaribisha wawakilishi wa nchi mbalimbali, ameitwa Kanumba kwa sababu yeye ni Celebrity na ilitamkwa kwamba jamaa anatoka Tanzania, hivyo anapochemsha ni aibu kwa Taifa kwa maana hizo ndio product zetu, sasa Ze Comedy wana Tatizo gani kuigiza yaliyojili huko bondeni, mimi nadhani hii ni changamoto kubwa kwa bwana Kanumba kutafuta kozi ya ungenge kwa sababu yeye ni Celebrity na muda wowote anaweza itwa kwenda kwenye maoccasion makubwa kama hayo ili atoe keynote, sasa kwa broken kama ile sijuhi kama jamaa watamwita tena
Waombe msamaha kwa kosa gani? Mi sioni kosa walilolifanya. Wamewaigiza watu mashuri kuliko huyo Kanumba hamjasema, kusemwa Kanumba imekuwa nongwa? Kanumba alifulia kama ze komedy wanavyoelekea kufulia, hilo halina ubishi.
Wadau, jana hawa jamaa wa Ze comedi wameendeleza uhasama dhidi ya wasanii wenzao wa kutengeneza filamu baada ya kuponda kikao cha wasanii hao kilichofanyika juzi n huku wakijigamba kuwa wao hawatishiki n kwa jeuri zaidi hata wakamkaribisha Manji kwenye kipindi chao...
Je, watakapo fulia kabisa MANJI ataendelea kuwatunza?
USIMCHEKE MAMBA KABLA.........
labda huwa hufatilii watu wamekuwa wakiwa lalamikia kwa muda mrefu sana...Waombe msamaha kwa kosa gani? Mi sioni kosa walilolifanya. Wamewaigiza watu mashuri kuliko huyo Kanumba hamjasema, kusemwa Kanumba imekuwa nongwa? Kanumba alifulia kama ze komedy wanavyoelekea kufulia, hilo halina ubishi.