Jua ni moja ndio maana huitwa The sun linapotajwa kwa mara ya Kwanza, wakati vitu vingine vikitajwa kwa mara ya Kwanza hutanguliwa Na "a" Na kuanzia mara ya pili ndipo "the" hutumika.
Labda hicho ndicho mwenye mtoto alichokuwa akikimaanisha.
mtoto wake wa pekee kamlinganisha Na jua, kama jua lilivyo la pekee.
Kuna watu watu wanawaita watoto wao kwa sifa mbalimbali, my hero, my star, my one and only etc.
Nakaribisha kukosolewa Na kurekebishwa