CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
Nimeshacheza tayari........ngoja nione......
Hahaaa...Asiye bahati, habahatishi. Wewe bahati yako ni kuamka kombora, kurudi lala salama. Hapo nakuhakikishia utaiona bahati yako, hizo zingine mbwembwe tu.....Nimeshacheza tayari........ngoja nione......
Ha ha ha haa haaa, utashangaa akibahatikaHahaaa...Asiye bahati, habahatishi. Wewe bahati yako ni kuamka kombora, kurudi lala salama. Hapo nakuhakikishia utaiona bahati yako, hizo zingine mbwembwe tu.....
kwa sababu hujatumia pesa, hujapoteza bali umewekeza....Mungu ni mwema!
Hivi wanatoa hata Toyota land cruiser v8?
Bofya link hii 25 Car Xmas Giveaway | All I Want For Xmas | BE FORWARDNimeambulia patupu namna ya kujiunga
Ha ha ha.......hivi wana Puma........?
Nimejaribu Tayari,mimi Nimechagua Toyota Voltz,itantosha Kabisa,na Nimeanza Kuandaa Parking Yake.
Nimeambulia patupu namna ya kujiunga
Niwekee picha ya puma niitafute......
Hongera in advance mkuu
Hivi ninacheza mara nyingi nyingi au mara moja inatosha.......?........maana nataka gari 2 Ili niweze kubadilisha.......