Zawadi Nono: Hii picha ilipigwa sehemu gani barani Africa

watu wanambwela tu....ikifika saa 11.59 nakupa jibu sahihi pasi na shaka..no overtime...the buzzer beater

Ehe wewe ni Mzee wa "last minutes" sio? Poa.

Tiba
 
Khartoum kuna Nile River, ok never mind.

Ni kweli Khartoum zinakutana white Nile na Blue Nile na kutengeneza Nile moja inayoelekea Misri lakini haina upana wa namna hiyo.

Tiba
 
hapo ni DAKAR SENEGAL picha imepigwa kama unatokea kwenye kisiwa cha Goree.
Nasubiri hela yangu.
cc.Tiba
 

DSCN2556.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom