K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 16, 2020 #1 Habarini, one of the fri
Joselela JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 6,825 Reaction score 9,644 Nov 16, 2020 #2 Ni mgeni ke/me
K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 16, 2020 Thread starter #3 Joselela said: Ni mgeni ke/me Click to expand... Ke
Abra One JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 918 Reaction score 380 Nov 16, 2020 #4 Na wewe ni Ke au Me?
K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 16, 2020 Thread starter #5 Abra One said: Na wewe ni Ke au Me? Click to expand... Me
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Nov 17, 2020 #6 Nasubiri Michango ya WADAU iongezeke
Minah JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 858 Reaction score 2,376 Nov 17, 2020 #7 Perfume, Shoes, Saa
Ronnycinchy JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,086 Reaction score 7,120 Nov 17, 2020 #8 Jersey ya timu ya taifa.... Akishidwa hata Ritter Sport Chocolate itatosha....
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Nov 17, 2020 #9 Mkuu hujaweka kitu kimoja muhimu sana. Una ukaribu gani nae maana zawadi inategemea inatoka kwa nani kwenda kwa nani?
Mkuu hujaweka kitu kimoja muhimu sana. Una ukaribu gani nae maana zawadi inategemea inatoka kwa nani kwenda kwa nani?
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,941 Reaction score 12,503 Nov 17, 2020 #10 Taja kitu chochote ambacho una uhakika ni cha bei ya kawaida lakini kinaweza kubaki kama kumbukumbu. Kisiwe kitu cha kula lakini . Wenzetu wanathamini vitu vya kawaida tofauti na haya makupe ya kwetu yanayokula mpaka nauli. Niamini mimi, usipokuwa mwenye tamaa utashangaa atakavyokuja navyo. Lakini zawadi yako itakonga moyo wake ukibahatika kutaja kitu anachokipenda pia.
Taja kitu chochote ambacho una uhakika ni cha bei ya kawaida lakini kinaweza kubaki kama kumbukumbu. Kisiwe kitu cha kula lakini . Wenzetu wanathamini vitu vya kawaida tofauti na haya makupe ya kwetu yanayokula mpaka nauli. Niamini mimi, usipokuwa mwenye tamaa utashangaa atakavyokuja navyo. Lakini zawadi yako itakonga moyo wake ukibahatika kutaja kitu anachokipenda pia.
K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 17, 2020 Thread starter #11 Minah 92 said: Perfume, Shoes, Saa Click to expand... Thanks so much
K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 17, 2020 Thread starter #12 Kichwa Kichafu said: Mkuu hujaweka kitu kimoja muhimu sana. Una ukaribu gani nae maana zawaidi inategemea inatoka kwa nani kwenda kwa nani? Click to expand... Ni my friend tu ukaribu naweza kusema ni wa kati na kati sio close sana au far sana
Kichwa Kichafu said: Mkuu hujaweka kitu kimoja muhimu sana. Una ukaribu gani nae maana zawaidi inategemea inatoka kwa nani kwenda kwa nani? Click to expand... Ni my friend tu ukaribu naweza kusema ni wa kati na kati sio close sana au far sana
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Nov 17, 2020 #13 Perfume
K Khalid91 Member Joined Feb 2, 2020 Posts 61 Reaction score 45 Nov 17, 2020 Thread starter #14 Jimena said: Perfume Click to expand... Thank youuu