Jamani msimshambulie Diamond bure; halali na kila mtu, analala na wanawake wazuri wenye hadhi fulani tu: kubalini hilo kwanza. Muda mfupi baada ya kusoma post hii nimepitia pale global publishesrs kusearch wanawake waliowahi kualala na diamond nikakuta list inaonyesha kuwa wengi wao ni mastaa wenye hadhi zao. Majina niliyopata haraka haraka ni haya: Rehema Fabian (Simfahamu), Jacqueline Wolper (Ni star wa hadhi), Upendo Moshi (simfahamu), Natasha (simfahamu), Wema Spepetu (Star mwenye hadhi), Aunt Ezekiel (Staa Mwenye hadhi), Jokate Mwengelo (Star mwenye hadhi), Irene Uwoya (Star mwenye hadhi), Penniel Mgimwa (Star mwenye hadhi), Avril (Star mwenye hadhi), Victoria Kimani (Star mwenye hadhi) na sasa Zari Hassan (Star mwenye hadhi ya kutisha). Kwa hiyo mwacheni Diamondn atumia muda wake; akichoka ataacha, siyo kumtupia matusi yasiytokuwa na maana. Yeye siyo zoa zoa vile; after alll Zari ,wenyewe ndiye aliyempaparikia. Kumbukeni hawa wanawake kwakwe huwa ni sememu ya kujitangza katika biashara yake ya Muziki. Ni jukumu lao kujipima kama ni sahihi kulala naye, siyo jukumu lake.
Nambie babe! Did u miss me? lols I luv this picture! Full kudekezwa na mkaka tall!
Kuleni maisha Zari & Diamond! Diamonds are forever!
Siipendi tabia ya Diamond kubadili badili Mademu ila nakubali huyu Zari ni mkali wacha. Huyu manzi ni soo!
We ni nani mpaka umpangie mtu alale na nani na asilale na nani??? Kama huna mwana elekea jiwe
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,
K alizikuta na ataziacha....
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.
Hapo kijana wetu alitakiwa alipwe kwa kuhudhuria hiyo party,Lakini kwasababu anapewa P basi kaenda bila kulipwa na anatafanya performance bure. On top of that hata nauli kajilipia
Kuna wanawake wametumwa hela hapa duniani. Mmama yupo strategic.
Diamond GO ON DOING WHAT U'RE DOING. U HAVE BLESSINGS FRM REAL FANS.
Dinarnzarde sijakupata! upo lakini?
Huyu zari anatumia nguvu nyingi sana katika hii show yake. Za chini ya kapeti from Kampala zinasema watu wanaweza kuisusa cz diamond hakubaliki ndani ya ardhi ya uganda. Watu wana suggest bora zari angemtumia AY au Prof J kama is the issue ya kupata artist from tz.
Siipendi tabia ya Diamond kubadili badili Mademu ila nakubali huyu Zari ni mkali wacha. Huyu manzi ni soo!
Mm huwa nawazaga haya mambo wanavyofanya na kuyarusha kwa mitandao ya jamii hawawazi kama wazazi wao wanaona. Diamond anasema anampenda sana mama yake sasa mbona mambo kama haya anayaweka wazi haoni anamkosea adabu mama yake. Mm kama mama naumia sana.
Nawasaidia tu watu maana wamelamba mno na vichefuchefu haviishii,maisha ya mama kwishaaaa nilimpenda lanlan
unaweza kujiona mjanja kumbe bonge la fa.la..........,
K alizikuta na ataziacha....
Poleni he is what he is You cant change him Looks like ananyimaa usungiziii au mlitakaa awaonjeshee utamu
Hapo ndio ninapokupendea
Nyeusi unaiita nyeusi
Nyeupe unaiita nyeupe
Hahahahahahahahhahahah
Kipi kikuchekeshacho????
hilo tu ndio linalokufanya unipende???
Kaka, hata Domondi ana misheni zake za kumpiga dudu huyo mama...
Nani hapendi vitu vitamu Bana?
Ulijuaje kama ni vitu vitamu...unaambiwa kila njemba ikipiga inaingia mitini..hapo kuna vitamu?inaonekana ni cover la nje tu..ndani ni nothing...three kids is not a joke!
Kama mwamamume mwenye akili timamu...huwezi kuruka hiki kiunzi...tuseme ukweli demu ni mtamu sana huyu..Dogo jichapie mpaka uone kuna nini ndani....Duh...... This woman rocks! She is pretty! I admire her million times!