Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Atulie tu bwana atasepa kwa hicho kiherehereTatizo ukifanya kwa siri siri diamond hataona na hataumia.
Yeye nia yake ni diamond aumie.
Lakini hajamtangaza baby wake, kwa hiyo hata wakiachana akipata mpya anaweza akaendelea kuigiza kwamba ni huyohuyo.
Anadhani anamkomoa au kumrusha roho daimond wakati mwanaume ni mwanaume tuHivi huyu bibie anahangaika na ndoa ili agundue nini? Kama gundu alishatoa ningekuwa mimi ningekula tu bata
Anadhani anamkomoa au kumrusha roho daimond wakati mwanaume ni mwanaume tu
Nawaza hivo hivo, nna pesa nna team ya watoto naolewa kugundua nini sijuiHivi huyu bibie anahangaika na ndoa ili agundue nini? Kama gundu alishatoa ningekuwa mimi ningekula tu bata
Angefanya kama Zamaradi. Kimya kimya mwisho wa siku watu wanashtukia ndoa imefungwa.Atulie tu bwana atasepa kwa hicho kiherehere
Unanijua kabisa mie shabiki sana tu wa bosslady ila hizo cheap show off za ndoa no kwakweli lile joho la Mrs dee nadhani unalikumbuka.... Atulie tuMmmh mnavyoumia sasa hahahaha
Unanijua kabisa mie shabiki sana tu wa bosslady ila hizo cheap show off za ndoa no kwakweli lile joho la Mrs dee nadhani unalikumbuka.... Atulie tu
Numbisa kwa utimu shikamoo πππMmmh mnavyoumia sasa hahahaha
Zari taratibu na hiyo kiu yako ya ndoa, bwana atapepea huyo akuachie jina tu ubaki Mrs hewa, haujifunzi tu? Kwa Diamond hivo hivo Mrs Dee Mrs Dee ukanunua na lile sijui joho sijui gauni nyuma limeandikwa Mrs Dee mara kikatokea kibinti kikapewa mimba na jina la Dee kikampa mtoto, Boss Lady ukabakiziwa Joho tu, haya ushampata mpya tayari ushaanza mbwembwe za Mrs kwanini usitulie hadi mambo yakae sawa, sidhani kama kuna mwanaume anaependa hiyo tabia asee nnavojua ukijionesha una kiu iliyopitiliza hukawii kuachwa kwenye mataa, labda kwakua we bosslady ila sie kina mwajuma ndala ndefu wataishia kutimka mbio tu.
Kama ulivofanya mchumba awe siri, hebu hiyo ndoa inyamazie kwanza hata uwe engaged unajionesha kuitaka sana ni kama vile unataka ndoa ili ukomeshe watu, itakushinda kuihudumia bureeee kisa unataka ukomesheee.... Tulia bwana kwa diamond ulitangaza 2018 it gonna be million dollars typa shit, jini mkata kamba akapita kabla hata hujavalishwa pete View attachment 1129943