Zari, Lulu waikacha Video mpya ya Diamond "Salome"

ila kiukweli diamond ana mkosea heshima zari.zari asha muhisi hamisa vibaya Leo hii diamond ana mchukua na kuwa video Queen. sio fair kabisa

Leo hii ipi tena????!!! hiyo video imeshootiwa tangu mwezi wa tatu huu ni karibia mwezi wa kumi....
 
Back
Top Bottom