" Taarifa nilizonazo ni kuwa , Diamond na Zari watakuwa wanaendelea na uhusiano wao wa kimapenzi lakini si ule wa kama awali . Ila wataendelea kuwa watu waliozaa mtoto na maisha ya Tiffah yataendelea kuwa kwa mama yake hadi hapo watakapoamua vinginevyo . Zari anaweza kuja Bongo na Diamond anaweza kwenda Sauz kwa Zari."