mdogo wangu diamond namuonea huruma sana coz tukiwa hot kenya na uganda wanakuja kuchota sisi tunabaki masikini......nacheka kwasababu najua nini kinaendelea hapo...am stil chuma muulize richard wa bg brother na mwisho mwampamba alafu njoo kwetu sisi washindi wa tunO ndogo za vijana na world inatujua lakini leo tumefulia mbaya ...........mapenzi yana run dunia bab shituka wenzio tume ambulia kuijua cana lakini leo tuna futa tongo tongo kitaa na kuvuta mikaa na wakibna nanihino walio wahi kuhiti bongo.....tupo sudani teneke .....tumechoka tunaunga unga na unga bongo....plz mjengee mama tafuta maendele sio sifa.plz mdogo wangu