Zarau na ubaguzi wa Israil zidi ya Wa-Afria

Kakke

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,883
1,482

Raisi wetu anasema yuko tayari hata ardhi wakitaka Tanzania atawapa utazani Tanzania ni mali ya Bibi yake
 
Ungefanya juhudi uende shule ukasome. Zarau, zidi, waafria-ndo taka taka gani hizi? Unakimbia shule unakimbilia JF uje kujisaidia saidia hovyo huku kwenye majukwaa
 
Kuhani mkuu wa Mayahudi anukuliwa na
Independent.co.Uk
".... black people are like monkeys.."
__Chief Rabbi Yitzhak Yosef
 
... black people are like monkeys; lbd ni kweli kwa ujinga tunaofanyiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…