Zanzibar to have the tallest building in Africa

Kwa zanzibar itafanyika haraka kwa sababu sekta ya utalii inaonyesha future nzuri zanzibar
Yani Zanzibar ijenge jengo litakalogharimu pesa nyingi kushinda Burji Khalifa ambayo iko Dubai - one of the world's biggest tourists hotspots. 🤣 🤣 🤣
 
Labda nikwambie tu... Ukanda wa Pwani ya Tanzania ya Sasa ndio ulikuwa kitovu cha Biashara na lango Kuu la Afrika yote, kutoka India na Mashariki ya Mbali kwenye Utajiru... Zanzibar imewahi kuwa Makao Makuu ya Utawala wa Oman ambao ulikuwa mkubwa kuliko Dubai kwa wakati huo, Mafia na Pemba zimewahi kuwa vituo vya Biashara vya Warumi

Na Kwa Taarifa Yako Sio tu Zanzibar ila Kuanzia Tanga Hadi Mtwara inarudi kwenye Ufalme wake...

Hivi Hamjiulizagi why Wachina Wanahangaika juu chini na wako tayari kutusikiliza ili tu wajenge Bandari ya Bagamoyo?

Why Total moved EACOP from Kenya to Tanga?
 
Najua historia ya Zanzibar wewe. Hayo yote hayasaidii. The fact is, Dubai is millions of miles ahead of Zanzibar now. Ni kama kusema Alexandria itoshane na New York kwa sababu Misri wakati mmoja ilikuwa superpower. 🚮🚮 Any sane person knows:-

1. $1.3 billion for that building is just stupid.
2. Investing$1.3 billion is a single building in Zanzibar is just stupid.
 
Back
Top Bottom