Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Hawa vibwengo watake wasitake Muungano hautavunjika ngoja tunasuburi muda sahihi ufike ndio watajua hawajui.Muungano wa Tanganyika na Zanzibar naumithilisha na ndoa ya baina ya mwanaume (Tanganyika) na Mwanamke (Zanzibar) ambapo mwanaume ndio anaforce mahusiano na mwanamke ikiwa mwanamke hataki kuwa katika hiyo ndoa. Hatima yake sasa ni ndugu wa mume kudhalilishwa na upande wa mwanamke, mwanamke kujiona bora zaidi ya mwanaume.
Huu muungano umekaa kinafiki sana, ni wakati sasa kila mtu akashika hamsini zake tujue ni nchi mbili tofauti tu. Kuliko haya manyanyaso na kudhalilishana kunakofanywa na wazanzibari dhidi ya watanganyika.
Mtanganyika akiwa zanzibar anachukuliwa kama takataka lakini wenyewe huku wanajiachia bila bughudha yeyote.
Hao machizi hatuwachii never never hata wafanyeje Muungano daima.Kwelli ila kukitokea kutengana, basi Dar na pwani nzima ijiandae kupokea wakimbizi mana hawa jamaa hawatawezana wakibaki wenyewe. Ni kama Somalia
Wabongo mnapenda kupotosha. Zanzibar kuna karantini ya ndizi haziruhusiwi kuingizwa na hilo liko wazi. Mbona viazi mbatata, keroti, nyanya tungule, vitunguu maji, thomu, tangawizi, matango, matikiti ,mananasi kutoka bara yanaingia kila kukicha zanzibar.? Acheni upotoshaji.Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala.
Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi Zanzibar ili ajikimu kimaisha yeye na watoto wake. Kilichotokea pale bandarini ni maelezo yanayo ashiria hisia za kibaguzi dhidi ya watu wa Bara.
Tunaambiwa eti Veronica ndizi zake hazihitajiki soko la Zanzibar, mara zina vidudu, mara hazina vibali, na faini ya elf 50 juu!
Suala hili ni dogo lakini limeleta hisia za kibaguzi kutoka kwa wazanzibari, tena serikali, dhidi ya Watanzania bara.
Wote tunaelewa jinsi wazanzibari na wapemba wanavyovumiliwa kwa mengi hapa Bara na hawachukuliwi kama raia wa nje kama ipasavyo.
Mnaya zaidi serikali ya Zanziba na waziri wake wamemfanyia uharamia mama mjane!
Hili halikubaliki!
Mwenye namba ya Veronica Mwanjala atupatie ili JF tuanze mchango wa kurejesha mtaji wa huyu mama aliyedhulumiwa.
Tatizo sasa ni kwamba wanatuhusisha sisi kwenye matatizo yao; na mbaya zaidi wanatuona sisi kama majuha!Kwelli ila kukitokea kutengana, basi Dar na pwani nzima ijiandae kupokea wakimbizi mana hawa jamaa hawatawezana wakibaki wenyewe. Ni kama Somalia
Sasa viongozi wawe wakari kwa vituko hivi, vinginevyo no wayHao machizi hatuwachii never never hata wafanyeje Muungano daima.
AvacheSasa viongozi wawe wakari kwa vituko hivi, vinginevyo no way
Kwa kweli tunaona moshi wa ndizi za mjane unao kera.Sio ndizi tu, penye moshi jua kuna moto hata njiti ya kiberiti inaweza kulea moto mkubwa. Dawa au mpenyo ni katiba mpya itakayo tatua khero zote za muungano
Safari hii rais katokea kwao wapo kimya kelele zinasikika bara, rais akitoka bara kelele zitasikiks visiwani kuhúsu muungano.Kwa kweli tunaona moshi wa ndizi za mjane unao kera.
Ujinga huo kamhadithie mkweo kupe ninyi.Wabongo mnapenda kupotosha. Zanzibar kuna karantini ya ndizi haziruhusiwi kuingizwa na hilo liko wazi. Mbona viazi mbatata, keroti, nyanya tungule, vitunguu maji, thomu, tangawizi, matango, matikiti ,mananasi kutoka bara yanaingia kila kukicha zanzibar.? Acheni upotoshaji.
Kwa kumalizia maji ya chupa ya kutoka bara yanaingia Zanzibar ila maji ya Zanzibar hayaruhusiwi kuingia bara. Bladibasket bol nyie
Mmmh we hujui hangaya ni mpembaCcm wana mengi ya kuwaeleza watanzania(tanganyika na zenji)juu ya muungano huu wa mchongo.
Wapemba nao waache upuuzi wao.
Mbaya zaidi ndizi zake walienda kupewa wafungwa wale, hatukatai kafanya kosa kutokana Sheria za ovyo ovyo za hizi serikali mbili ila njia iliyotumika kutatua hili jambo ni ya kikatili mno.Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala.
Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi Zanzibar ili ajikimu kimaisha yeye na watoto wake. Kilichotokea pale bandarini ni maelezo yanayo ashiria hisia za kibaguzi dhidi ya watu wa Bara.
Tunaambiwa eti Veronica ndizi zake hazihitajiki soko la Zanzibar, mara zina vidudu, mara hazina vibali, na faini ya elf 50 juu!
Suala hili ni dogo lakini limeleta hisia za kibaguzi kutoka kwa wazanzibari, tena serikali, dhidi ya Watanzania bara.
Wote tunaelewa jinsi wazanzibari na wapemba wanavyovumiliwa kwa mengi hapa Bara na hawachukuliwi kama raia wa nje kama ipasavyo.
Mnaya zaidi serikali ya Zanziba na waziri wake wamemfanyia uharamia mama mjane!
Hili halikubaliki!
Mwenye namba ya Veronica Mwanjala atupatie ili JF tuanze mchango wa kurejesha mtaji wa huyu mama aliyedhulumiwa.
Watu wa Zanzibar ni wabaguzi na wenye roho mbaya sana............tena hawajifichi wapo wazi kabisaHao ni viumbe wa changu changu, chako changu. Ukiwakuta huku Tanganyika wanavyoishi kwa uhuru, hata huwezi kuamini kama siyo kwao.
Walio karibu na mama tunaomb number yake tumchangia mama huyo kurudisha mtaji wake wa ndizi..hatuwezi kukubali dhuruma kwa mam mjaneWewe unaliita hili jambo "swala dogo."
Mimi silioni kuwa swala dogo hata kidogo, ni swala kubwa sana katika uhai wa nchi yetu ya Muungano.
Kiufupi ni kwamba matendo haya yanayofanywa huko Zanzibar, ni mkakati maalum wa kuchochea hisia toka Tanganyika, ili wenye lengo lao la kuuvunja Muungano lifanikiwe.
Huu ni mkakati maalum kwa wenye lengo lao.
Naunga mkono uhitaji wa Simu ya huyo mama, achangiwe.