Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,188
- 29,929
Iasikitisha kwa kweli, handling ya ndizi tu, imeleta hiisia ya ubovu wa muungano!Kilichonishangaza ni waziri kukosa kazi mpaka kuanza kukagua ndizi?
Pili huu ni muungano unaobase upande mmoja huku wanufaika wakubwa wakiwa ni zanzibar
Wazo zuri, tuwajali wajane.Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala.
Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi Zanzibar ili ajikimu kimaisha yeye na watoto wake. Kilichotokea pale bandarini ni maelezo yanayo ashiria hisia za kibaguzi dhidi ya watu wa Bara.
Tunaambiwa eti Veronica ndizi zake hazihitajiki soko la Zanzibar, mara zina vidudu, mara hazina vibali, na faini ya elf 50 juu!
Suala hili ni dogo lakini limeleta hisia za kibaguzi kutoka kwa wazanzibari, tena serikali, dhidi ya Watanzania bara.
Wote tunaelewa jinsi wazanzibari na wapemba wanavyovumiliwa kwa mengi hapa Bara na hawachukuliwi kama raia wa nje kama ipasavyo.
Mnaya zaidi serikali ya Zanziba na waziri wake wamemfanyia uharamia mama mjane!
Hili halikubaliki!
Mwenye namba ya Veronica Mwanjala atupatie ili JF tuanze mchango wa kurejesha mtaji wa huyu mama aliyedhulumiwa.
You scratch my back, I scratch your back!Nasema tu, tukianza kuwakazia wazanzibari kuja na vikorokoro vyao huku bara sijui itakuwaje: kuna majitu yana roho mbaya sana
Hawa watu wana shida mahali! Siyo bure. Miaka nenda wenyewe wanataka Muungano wa kuwanufaisha wao tu.Nasema tu, tukianza kuwakazia wazanzibari kuja na vikorokoro vyao huku bara sijui itakuwaje: kuna majitu yana roho mbaya sana
Katika ubaguzi wa watu wetu, uchawa wangu unaisha kabisa.Wewe si ndio chawa wa awamu hii?
Nmhurumia Mama Janeti, simhurumii yule jamaa mwenye akaunti ya "Plea Bargain" huko China kwa sasa!Wazo zuri, tuwajali wajane.
Usisahau pia kumhurumia mjane wa Mh Magu unayemtukania mumewe Kila kukicha.
Labda wataalam wa Kilimo watuambie Kama ugonjwa wa migomba unaweza kusambazwa na ndizi mbivu.Iasikitisha kwa kweli, handling ya ndizi tu, imeleta hiisia ya ubovu wa muungano!
Wamekera sana, halafu utakuta eti huyo waziri anavuka maji kuambatana na mhe rais kwenye ziara za bara, ati waziri pacha, na anagharamiwa na muungano, je ni kwa sheria ipi.Nasema tu, tukianza kuwakazia wazanzibari kuja na vikorokoro vyao huku bara sijui itakuwaje: kuna majitu yana roho mbaya sana
Pamoja na kumsapoti mama Samia, masuala haya ya unafiki wa wazi yaakera sana.Wamekera sana, halafu utakuta eti huyo waziri anavuka maji kuambatana na mhe rais kwenye ziara za bara, ati waziri pacha, na anagharamiwa na muungano, je ni kwa sheria ipi.