Zanzibar: Jecha abadili wasimamizi wote wa Uchaguzi

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi zanzibar Jecha Salim Jecha, ametangaza kuwaondoa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo katika wilaya 11 za zanzibar na kufanya usaili upya kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa marudio hapo march 20, mwaka huu.
Chanzo: nipashe ya leo
 
Jecha katika ubora wake na makamishina abadilishe Wa tume
Tatizo ni kulazimisha ushindi Wa ccm
 
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi zanzibar Jecha Salim Jecha, ametangaza kuwaondoa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo katika wilaya 11 za zanzibar na kufanya usaili upya kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa marudio hapo march 20, mwaka huu.
Chanzo: nipashe ya leo
Hayo maamuzi anayo yafanya huyo Jecha ni kwa vikao vya Tume ama yeye kwa utashi wake?
 
[QUOTEanavyofanyaDI, post: 15386466, member: 341224"]Atakuwa tayari kawabadilisha au wamejitoa
Vyote anavyofanya jecha ni kwa utashi Wa fisiem na siyo yeye akuna jipya hapo tutaona mengi mwaka huu
 
Hayo maamuzi anayo yafanya huyo Jecha ni kwa vikao vya Tume ama yeye kwa utashi wake?
Anafanya maamuzi na kuyatangaza kwa niaba ya tume ila sifahamu kama kuna vikao wanakaa na kukubaliana hebu ngoja waje wazanzibari wenyewe
 
mantiki ni kuwa waliokuwepo walibariki au kukubali hali halisi ya matokeo yaliyo mjenga maalim ajitangaze mshindi hivyo kuwabadilisha kutaleta uwoga kwa hawa wapya na kumsikiliza yeye Zaidi kuliko hali ilivyo kuwa awali ,tatizo ni kuwa amesahau kuweka sawa vipengele vinavyopingwa na vyama vingine vya kisiasa visiwani ili uchaguzi uonekane ni uchaguzi huru.kwani vyama vingine vimesusa ,
 
Ametangaza hakuna chama kilichojitoa kwa kufuata sheria hivyo wagombea wote watashiriki watake wasitake
 
Anafanya maamuzi na kuyatangaza kwa niaba ya tume ila sifahamu kama kuna vikao wanakaa na kukubaliana hebu ngoja waje wazanzibari wenyewe

Kuna hatari ya kuingia lawamani tena kwa vile inafahamika kuwa baadhi ya wajumbe wa Tume hiyo walitofautiana naye kuhusu mambo ya huko nyuma
 
Kwani Jecha anaogopa mzanzibari yeyote sasa hivi, unaambiwa ulinzi alionao wa Obama hauoni ndani.
 
Back
Top Bottom