Ndugu wana bodi na ma great thinkers.
Ndugu zangu naomba kujuzwa wageni wanapotaka kuingia tanzania wanalipia visa ya kuingia tanzania jee kwa upande wa zanzibar hili fungu la gawio la pesa za visa wanapata ama. My take naomba tujadilini hoja na tuwe na ustarabu katika hii hoja
So kama mke kuna gawio wanapata
wao kwenye muungano ni kama mke kwenye ndoa, hivyo mme akipata na mke anafaidi
Usitegemee kupata majibu, hiyo ndiyo hulka ya machogo, lazima watakwepa hoja[/
Machogo ndio kina nani...
We mtoto wa mtumwa unayeita watu machogo wakati mababu zako walitoka huko huko kama unajua watu ni machogo wasioweza kutoa jibu mliweka uzi wa nini? Acheni matusi ya kijinga kama huna hoja si unyamaze? Mjumbe ametaka kujua jinsi Znz inavyonufaika na pesa ya visa. Kama huna jibu nyamaza. Nijuavyo Znz inafaidika kutokana na bajeti yake kutoka kwenye serikali ya Muungano. Znz ni sehemu ya Tanzania hivyo hupa kila kitu wanachopata watanzania tena saa nyingine hata zaidi hasa kwenye vyeo vya kisiasa.
Ndugu zangu hawa hawaishi kuulizia mgao mgao mbona hawaulizi kuhusu madeni ya muungano??? lakini hata hivyo gharama za visa ni operational cost za immigration dept ambapo ninavyoelewa gharama hizi ambazo muombaji hulipa kwa idara hiyo kufidia gharama za mchakato wote wa utoaji wa visa.kama kumbukumbu zangu ziposawa zanzibar mnapewa na tanganyika 7% ya pato linalokusanywa...... Kupata kiasi mnachopewa kila mwaka waziri wako wa fedha anahusika...ila kiufupi makusanyo hayo yanajumuisha na visa pia....
So kama mke kuna gawio wanapata
Usitegemee kupata majibu, hiyo ndiyo hulka ya machogo, lazima watakwepa hoja
So kama mke kuna gawio wanapata
Usitegemee kupata majibu, hiyo ndiyo hulka ya machogo, lazima watakwepa hoja
mwanangu wa mwisho amabaye ana miaka 12 anachogo sasa kuna wakati ninamtania kwa kumwita chogo naye hunijibu kwa kujiamini kuwa hilo chogo limejaa oblangata na ndiyo maana yupo top ten wakati wote hahahaha God bless machogohapo kwenye red ukilaza wenu unasababishwa na kutokuwa na hayo machogo.. Watu gani mna vichwa kama flat screen; ndio maana top ten ya shule zilizofeli zaidi huwa zinatoka kwenu