Zanzibar ina urefu km 108 na upana km 32 (area of 2,461 sq km)

mh dudus kwa hivyo unataka iweje....? au ndio nyie mnaofikiria kwa makalio....

Sitaki chochote zaidi ya kuweka rekodi sawa; kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo. Hii elimu ya Mulugo kuna vichwa maji wengine wala hawajui kwamba Zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wowote wa Tanganyika. Ni muhimu sana wakajua hilo.
 
''It is located in the Indian Ocean and consists of many islands, the main two being Unguja (sometimes called Zanzibar) and Pemba. Together with Mafia Island (south of Zanzibar), these three Islands form the Spice Islands''.........???

For the second time i am reading articles which include Mafia as part of Zanzibar....Is Mafia part of Zanzibar?! Why it's admistrative is hails from Tanganyik? From what i know Mafia is a one of the district in Pwani Region.
 
Sitaki chochote zaidi ya kuweka rekodi sawa; kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo. Hii elimu ya Mulugo kuna vichwa maji wengine wala hawajui kwamba Zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wowote wa Tanganyika. Ni muhimu sana wakajua hilo.

...ahsante kwa taarifa...lakini pamoja na udogo wao bado wanahaki ya kujiamulia mambo yao...
 
Sitaki chochote zaidi ya kuweka rekodi sawa; kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo. Hii elimu ya Mulugo kuna vichwa maji wengine wala hawajui kwamba Zanzibar ni ndogo kuliko mkoa wowote wa Tanganyika. Ni muhimu sana wakajua hilo.

sio mbaya kujua kama kweli ndio dhumuni lako, lakini elewa ukubwa ama udogo wa Zanzibar hauna nafasi ktk Muungano, bado Zanzibar ina haki sawa na Tanganyika ktk Muungano huu,
 
Wilaya ya kinondoni ni kubwa kuliko Zanzibar.
*sitaki ubishi....vielelezo,fateni pale manispaa ya kinondoni.
 
sio mbaya kujua kama kweli ndio dhumuni lako, lakini elewa ukubwa ama udogo wa Zanzibar hauna nafasi ktk Muungano, bado Zanzibar ina haki sawa na Tanganyika ktk Muungano huu,

Be serious dude! Zanzibar ina haki sawa Tanganyika? Give me break, kama ni Zanzibar hii tunayoifahamu inayoshindwa kulipia bill zake za umeme! Can't see that happening
 
Bahari inakula Ardhi na kisiwa kinapungua hizo Takwimu si sahihi Zanzibar sasa ni ndogo sana Ardhi umeliwa na kumegwa na maji ya Bahari kwa kiasi kikubwa . Hapo sasa hasitahili Kuwa Nchi pabadilishwe pawe Mikoa tu tena mikoa itangazwe Kuwa ni mikoa iliyokuwa hatarini kutoweka duniani kutokana na maji kumega Ardhi . Ukiichunguza Zanzibar kwa undani naendeleo yake yapo slow slow sana Wazanzibar wengi wamehamia Tanganyika na wana maendeleo sana huku wakifuta Fikra za kurejea visiwani tena .
 
Be serious dude! Zanzibar ina haki sawa Tanganyika? Give me break, kama ni Zanzibar hii tunayoifahamu inayoshindwa kulipia bill zake za umeme! Can't see that happening

Hapo kwenye Haki unaweza ukawa upo Sawa kwani Wazanzibar ni Wachache lakini ni Wanjanja zaidi ya watanganyika Maana Tanganyika inalima na kupalilia na kuvuna kisha Mazao inagawana na Zanzibar Nusu kwa nusu yaani Zanzibar wanawapelekesha Tanganyika Kama Nyumbu wakipiga Chafya tanganyika anaugua mafua Chezea Zenji wewe...
 
Dah! Mkuu umenistua; unajua bado nakumbukia ile Atlas ya enzi za Mwalimu niliyoitumia STD V. Kumbe kuna changes nyingi zimetokea hivi karibuni; kama Lake Nyasa nasikia limetoweka ghafla.
Siku hizi hazichapishwi tena Atlas,kwani kila baada ya miezi miwili tuna pata mkoa mpya!
 
Nafkiri tumeona mfano wa watu wanaofikri kwa kutumia makalio.......haina haja kuchangia nahisi...ni mtu Mjinga na mshamba

Hahaha....kama hivi?

AT zlu SSizQAAAAAElFTkSuQmCC

AT zlu SSizQAAAAAElFTkSuQmCC
au....
 
Usiniambie kutoka ncha ya Kusini kabisa hadi ya Kaskazini kabisa ya Zanzibar ni less than Dar - Chalinze (109)! Halafu eti tuwe sawa kwa kila kitu.

Kwenye kuchangia gharama za kuendesha serikali ya Muungano ichengie moja halafu kwenye maamuzi inatakiwa iwe sawa.
 
Back
Top Bottom