Tuione hapa, maana kuna Rahma wengine hawana tofauti na Rama, lazma kwanza tujue who is who!Picha ya Rahma tafadhari
Tuwaache WAPUMUWE😀😀Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros, , Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki? Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Nimeshindwa kuelewa😀Waache wafu wazikane wenyewe...
View attachment 3177866
Hujaona hiyo Tanzia bwasheee?Nimeshindwa kuelewa😀
Hii ni aibu na wala sio jambo la kulfurahia.Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros, , Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki? Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Umeabiwa na nani? Mbona hivyo sivyo ilivyo?Pemba ndiyo kitovu cha ushogo na ndiko misikiti iliko jaa
Sheikh acha nongwa. Wachezaji wetu wa timu ya Taifa lazima wasuguliwe mapaja na Bi. Rahma Abdallah Bin Munir. Maana yeye ndiye mtaalamu pekee ndani ya Zanzibar. Kama hutaki, hamia Tel Aviv ukaishi na akina Netanyahu.Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros, , Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki? Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Tanzia nimeona marehemu sijamuona😅Hujaona hiyo Tanzia bwasheee?
Hatari sanaWaache wafu wazikane wenyewe...
View attachment 3177866
Acha ujinga unaona wivu wanaume wenzako kuchuliwa mapaja?Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros
Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki?
Hakuna madokta wanaume?
Hii inafundisha nini?
Hata Tanzania Bara penye waumini wa dini ni mchanganyiko hii haijawahi kutokea hivi.
Yaani PBZ licha ya kuwa masheikh wakubwa ndani yake wanasupport hii?
"Wala Mayahudi hawataridhika nawe wala Manasara mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika mwongozo wa Allah ndio mwongozo. Na ukifuata matamanio yao baada ya yale uliyofunuliwa huna mlinzi wala msaidizi mbele ya Allah."
Mungu wa kike Mungu mwezi ila mnasema hana mtotoAllah
Zanzibar kiswahili wanakielewa sidhani kama watakuwa wamekosea pengine hilo neno Lina maana nyingi wataalam wa kiswahili tunaomba ufafanuzi.Waache wafu wazikane wenyewe...
View attachment 3177866