Nimemsikia mbunge wa Zanzibar viti maalumu CCM, Faidah Mohammed akitoa hoja juu ya ubakaji. Alivyoeleza kama ni janga kubwa sana kitu ambacho si kweli.
Zanzibar ni sehemu yenye ustarabu kuliko popote pale Tanzania.
Kama kuna watu wachache isijumuishwe Zanzibar yote sababu uhalifu upo kila mahali.