Andrew abel Member Joined Dec 6, 2012 Posts 49 Reaction score 4 Dec 12, 2012 #1 ngoja nicheke kwanza!!..teh teh teh teh...safi sana mlichokifanya zanzibar heroes,mlikua abandoned sasa mmeng'aa na ushindi wa 3 na fedha juu hyo ni haki yenu na mgawane wnyewe kama mlivyofanya!!..hao viongozi wamechukia kwa ajili ya uroho wao!!
ngoja nicheke kwanza!!..teh teh teh teh...safi sana mlichokifanya zanzibar heroes,mlikua abandoned sasa mmeng'aa na ushindi wa 3 na fedha juu hyo ni haki yenu na mgawane wnyewe kama mlivyofanya!!..hao viongozi wamechukia kwa ajili ya uroho wao!!