mshumbusi
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 457
- 232
Ukiwa nzanzibar utaona wanajeshi wengi sana na polisi .
Nikajiuliza kama vurugu hazikutokea kwenye uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi uje utokee kwenye mfumo wa chama kimoja ...
Nivyema hii nguvu tungeipeleka kwenye kulinda aman nchi zenye machafuko kwan kile chama kinachofanya uchaguzi chenyewe kimesha shinda