Kibirizi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 604 Reaction score 149 Jan 9, 2012 #1 Salama, jamani ninapata tabu katika kuunganisha network ya Zantel pia na kujaza vocha kila nikiunganisha napata msg ifuatayo "Error 691: aceess was denied because the username and/or password was invalid on the domain". Msaada please.
Salama, jamani ninapata tabu katika kuunganisha network ya Zantel pia na kujaza vocha kila nikiunganisha napata msg ifuatayo "Error 691: aceess was denied because the username and/or password was invalid on the domain". Msaada please.
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,826 Reaction score 22,208 Jan 9, 2012 #2 Kwenye username weka '@zantel.com' without quote ila password acha wazi alafu jaribu tena kuunganisha.
Kwenye username weka '@zantel.com' without quote ila password acha wazi alafu jaribu tena kuunganisha.
Kibirizi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 604 Reaction score 149 Jan 9, 2012 Thread starter #3 asante mkuu ila nimejaribu lakini naona tatizo liko pale pale.
e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Jan 9, 2012 #4 Kibirizi said: asante mkuu ila nimejaribu lakini naona tatizo liko pale pale. View attachment 44960 Click to expand... Mkuu settings zako ziko sawa kabisa,,, tatizo ni hao wenyewe Zantel network inasumbua sana these days
Kibirizi said: asante mkuu ila nimejaribu lakini naona tatizo liko pale pale. View attachment 44960 Click to expand... Mkuu settings zako ziko sawa kabisa,,, tatizo ni hao wenyewe Zantel network inasumbua sana these days