Zana za kilimo zinauzwa

Zana za kilimo zinauzwa

Imphuvyi

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
224
Reaction score
155
Habari za wakati huu wana jamvi,

Nauza zana hizi kwa wenzangu wanaojihusisha na kilimo cha kumwagilia.

Water pump 1 used 1 month.

Koromeo 1 used 1 month (hii ina urefu wa mita 3).

Na mpira wa mita 100 (bado mpya).

Mahali Dar es salaam.

Bei sawa na bure. Jumla nahitaji laki 3 tu.

20200713_181336.jpg
20200713_181429.jpg
 
Habari za wakati huu wana jamvi,

Nauza zana hizi kwa wenzangu wanaojihusisha na kilimo cha kumwagilia.

Water pump 1 used 1 month.

Koromeo 1 used 1 month (hii ina urefu wa mita 3).

Na mpira wa mita 100 (bado mpya).

Mahali Dar es salaam.

Bei sawa na bure. Jumla nahitaji laki 3 tu.

Laki 3 hata haijafikia bei ya pump. mpira wenyewe karibia laki 2.


hizo mali ni za kwako mkuu?
 
Hizo pump zimeshuka sana sana k.koo bei yake ni 280000 mpya tena mjapa petrol na ni '3' kam hiyo kampuni ya (kato)
 
Laki 3 hata haijafikia bei ya pump. mpira wenyewe karibia laki 2.


hizo mali ni za kwako mkuu?
Mzee kuwa na amani. Mpira ni 130000
Pump ni 250000
Koromeo ni 60000
Jumla ni 440000. Hapo unavipata vikiwa vipya.
Mimi nauza laki 3 kwa pamoja. Maana nishavitumia kama mwezi na wiki 1. Kwenye kilimo cha tikitimaji.
Acha mawazo HASI.
 
Mashine bado mpya kabisa.
Imetumika mwezi mmoja tu.
N.b, hata mpira bado ni mpya kabisa, haujatumika hata siku moja.
Kwa wale wanaojua bei za vitu hivi madukani, bei hii ninayouza ni sawa na bure!!
ZINGATIO: SIUZI KIMOJA KIMOJA. VINAENDA KWA PAMOJA.
20200716_081755.jpg
 
Wadau!
Kwa mwenye uhitaji na water pump,hii hapa haijawahi kutumika.
Bei:Tsh 180,000
Ipo Dar-es-salaam
20200717_165641.jpg
20200717_165615.jpg
 

Attachments

  • IMG-20200716-WA0000.jpg
    IMG-20200716-WA0000.jpg
    45.7 KB · Views: 19
Back
Top Bottom