Zana Colibally kukipiga AS Vita

Zana Colibally kukipiga AS Vita

Dav jm

Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
58
Reaction score
45
Aliyekuwa beki wa Simba SC Zana
Coulibaly amewasili katika uwanja
wa ndege wa N'Dijili uliyopo Congo
Kinshasa kwa ajili ya kukamilisha
usajili wake na club ya AS Vita ya
Congo, Zana aliachana na Simba SC kwa makubaliano ya pande zote
mbili #MillardAyoSPORTS
 
Labda haukumuelewa. Mwenzio kauliza kwa kejeli.
Kweli ww
Kweli wewe ni mjinga, jamaa ameuliza zana ameenda na bodaboda lake !! Unakuja kumjibu bora simba wamepewa bodaboda Yanga wamepewa nini
 
Bora simba wamepewa zawadi za bodaboda. Wachezaji wa yanga wamepewa zawadi gani?
boda boda moja si Chini ya mil 2.
Wewe unaona ndogo?
Yanga wapewe zawadi kwani wamechukua ubingwa..subiri msimu ujao watapewa coupons za mwaka kufanya shopping GSM malls
 
Kabla ya kufika kwenye matumizi Makwasukwasu FC wameanza kuboronga.Leo wamewasimamisha Yondani,Juma Abdul na Vincent Chifupe kwa kudai madeni yao ya usajili.Wageni wamelipwa pesa za kusajili huku wenyeji wakisotea madeni yao.Unafanya arusi kubwa huku huna pesa za matumizi.
 
Back
Top Bottom