Zambia mpinzani kachukua nchi bila Katiba Mpya

Tatizo siyo upinzani! Tatizo ni chama kilicho shika hatamu kutumia dola vibaya!
Upinzani ni wazembe period. Walitaka yote kwa pupa they know how our political system works lakini wana act kama immature
 
Hawa CCM dawa yao ni wafanyiwe Kitaliban tu,we umeona wapi watu kila kitu hawataki hata kuvaa Tisheti ya Katiba Mpya.

Shame on them.
 
Upinzani ni wazembe period. Walitaka yote kwa pupa they know how our political system works lakini wana act kama immature
How mkuu wakati mnatumia dola! Walitaka nini kwa pupa? Wao wamesema bila katiba mpya hakuna kitachofanikiwa na wakaanza kuidai. Kitu gani walitaka kwa pupa?
 
Wala HAWAJAKURUPUKA hasa ukitilia maanani kwamba mfumo wa vyama vingi nchini una miaka 30 sasa na bado katiba ni chama kimoja iliyoandikwa na maccm. Ulitaka wasubiri miaka mingine 30? Wakati wa kuipata Katiba mpya ni SASA.
Okay ngoja CCM ajichukulie points zake 3 za mezani. Sababu Mbowe atatoka baada ya muda mfupi CDM watasheherekea kiongozi wao kutoka na CCM watajimwambafy kua kuna uhuru na democracy huoni kiongozi wao kakutwa hana hatia.
 
How mkuu wakati mnatumia dola! Walitaka nini kwa pupa? Wao wamesema bila katiba mpya hakuna kitachofanikiwa na wakaanza kuidai. Kitu gani walitaka kwa pupa?
Ndugu yangu CCM is too powerful kuingilia kwa namna CDM walivyokuja ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Mbona Zanzibar cuf wameshinda Mara kibao na amkuwatangaza. Mvivu Ni wewe usiyeweza kufikiri nini tatizo
 
Ndugu yangu CCM is too powerful kuingilia kwa namna CDM walivyokuja ni upumbavu wa hali ya juu.
Una hasira nao!!!! Mi naona unawaonea mkuu. Upowerful wa ccm ni dola tu! Bila dola ccm is very vulnerable!!!!
 
Reactions: BAK
😳😳😳😳😳 you don’t know what you’re talking about.
Okay ngoja CCM ajichukulie points zake 3 za mezani. Sababu Mbowe atatoka baada ya muda mfupi CDM watasheherekea kiongozi wao kutoka na CCM watajimwambafy kua kuna uhuru na democracy huoni kiongozi wao kakutwa hana hatia.
 
We nguruwe Umekariri, kuwa kila nchi inayo fanya uchaguzi inahitaji katiba mpya.
Zambia hawahitaji katiba mpya hii waliyo nayo inawafaa
 
Reactions: BAK
Una hasira nao!!!! Mi naona unawaonea mkuu. Upowerful wa ccm ni dola tu! Bila dola ccm is very vulnerable!!!!
Sina hasira nao ila think tank yao inanifadhaisha so immature utadhani hawaijui CCM
 
How old are you?
Wengi ni wanaopiga kelele ni hawa wa shule za kukariri. Hajui historia ya Zambia na chaguzi zake. Zambia wao tangu ule uchaguzi wa mwanzo uliomwondoa Kaunda walikuliwa wanajua umuhimu wa uchaguzi huru. Ilitokea bahati nzuri sana nchi yao ina viongozi wenye akili na vision na wanajua uchaguzi huru ni moja ya nguzo za kuifanya nchi imara. Sasa hawa wapumbavu kama aliyeanzisha thraed wanaangalia futi mbili mbele na hawajui kilichopo mita tatu.
 
Reactions: G4N
Watu wanadai katiba mpya kutokana na mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya sasa lakini huenda katiba ya Zambia haina mapungufu makubwa ndio maana wapinzani wa huko hawapigi kelele ya katiba mpya.
 
Bila katiba mpya walaTume huru wakiwa serious wanaing'oa CCM saa 2 asubuhi.....tatizo wanaporwa ushindi waziwazi na hawachukui hatua,upinzani unataka vichwa vibishi dizaini ya Chacha Wangwe (R.I.P) sio hawa wa kukimbia nchi.
Kwahiyo unataka wote wafe kama chacha wangwe??
 
Dogo endelea kubet, hakuna inalojua kwenye siasa za bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…