Zambia mpinzani kachukua nchi bila Katiba Mpya

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
2,086
2,000
Tatizo siyo upinzani! Tatizo ni chama kilicho shika hatamu kutumia dola vibaya!
Upinzani ni wazembe period. Walitaka yote kwa pupa they know how our political system works lakini wana act kama immature
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
30,377
2,000
Hawa CCM dawa yao ni wafanyiwe Kitaliban tu,we umeona wapi watu kila kitu hawataki hata kuvaa Tisheti ya Katiba Mpya.

Shame on them.
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,556
2,000
Upinzani ni wazembe period. Walitaka yote kwa pupa they know how our political system works lakini wana act kama immature
How mkuu wakati mnatumia dola! Walitaka nini kwa pupa? Wao wamesema bila katiba mpya hakuna kitachofanikiwa na wakaanza kuidai. Kitu gani walitaka kwa pupa?
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
2,086
2,000
Wala HAWAJAKURUPUKA hasa ukitilia maanani kwamba mfumo wa vyama vingi nchini una miaka 30 sasa na bado katiba ni chama kimoja iliyoandikwa na maccm. Ulitaka wasubiri miaka mingine 30? Wakati wa kuipata Katiba mpya ni SASA.
Okay ngoja CCM ajichukulie points zake 3 za mezani. Sababu Mbowe atatoka baada ya muda mfupi CDM watasheherekea kiongozi wao kutoka na CCM watajimwambafy kua kuna uhuru na democracy huoni kiongozi wao kakutwa hana hatia.
 
Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
2,086
2,000
How mkuu wakati mnatumia dola! Walitaka nini kwa pupa? Wao wamesema bila katiba mpya hakuna kitachofanikiwa na wakaanza kuidai. Kitu gani walitaka kwa pupa?
Ndugu yangu CCM is too powerful kuingilia kwa namna CDM walivyokuja ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Kohelethi

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
2,401
2,000
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Mbona Zanzibar cuf wameshinda Mara kibao na amkuwatangaza. Mvivu Ni wewe usiyeweza kufikiri nini tatizo
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,556
2,000
Ndugu yangu CCM is too powerful kuingilia kwa namna CDM walivyokuja ni upumbavu wa hali ya juu.
Una hasira nao!!!! Mi naona unawaonea mkuu. Upowerful wa ccm ni dola tu! Bila dola ccm is very vulnerable!!!!
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,569
2,000
😳😳😳😳😳 you don’t know what you’re talking about.
Okay ngoja CCM ajichukulie points zake 3 za mezani. Sababu Mbowe atatoka baada ya muda mfupi CDM watasheherekea kiongozi wao kutoka na CCM watajimwambafy kua kuna uhuru na democracy huoni kiongozi wao kakutwa hana hatia.
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,289
2,000
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
We nguruwe Umekariri, kuwa kila nchi inayo fanya uchaguzi inahitaji katiba mpya.
Zambia hawahitaji katiba mpya hii waliyo nayo inawafaa
 
  • Love
Reactions: BAK

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
2,086
2,000
Una hasira nao!!!! Mi naona unawaonea mkuu. Upowerful wa ccm ni dola tu! Bila dola ccm is very vulnerable!!!!
Sina hasira nao ila think tank yao inanifadhaisha so immature utadhani hawaijui CCM
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,867
2,000
How old are you?
Wengi ni wanaopiga kelele ni hawa wa shule za kukariri. Hajui historia ya Zambia na chaguzi zake. Zambia wao tangu ule uchaguzi wa mwanzo uliomwondoa Kaunda walikuliwa wanajua umuhimu wa uchaguzi huru. Ilitokea bahati nzuri sana nchi yao ina viongozi wenye akili na vision na wanajua uchaguzi huru ni moja ya nguzo za kuifanya nchi imara. Sasa hawa wapumbavu kama aliyeanzisha thraed wanaangalia futi mbili mbele na hawajui kilichopo mita tatu.
 
  • Thanks
Reactions: G4N

Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
884
1,000
Naam km kichwa habar kinavyojielewa sote tumeshuhudia zambia mpinzan akichukua nchi bila katiba mpya

Nawashaur chadema waache uvivu wa kufikir kwa kudhan kuwa katiba mpya ndio itawafanya waingie ikulu km bibi harus anavyoingia chumban kwa bwana ake.

Angalien mnakosea wap mrekebishe nasio kutafuta visingizio, tafuten agenda znazowagusa wananchi na sio kufanya siasa za matukio.

Kuwen na usiku mwema makamanda njaa na waoga wa kuthubutu na kujikosoa
Watu wanadai katiba mpya kutokana na mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya sasa lakini huenda katiba ya Zambia haina mapungufu makubwa ndio maana wapinzani wa huko hawapigi kelele ya katiba mpya.
 
G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
763
1,000
Bila katiba mpya walaTume huru wakiwa serious wanaing'oa CCM saa 2 asubuhi.....tatizo wanaporwa ushindi waziwazi na hawachukui hatua,upinzani unataka vichwa vibishi dizaini ya Chacha Wangwe (R.I.P) sio hawa wa kukimbia nchi.
Kwahiyo unataka wote wafe kama chacha wangwe??
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,289
2,000
Sikatai but walikurupuka kuanza sasa hivi. Hivi unajua Hitler alikuaje na nguvu ni kwa sababu alianza kufanya vitu vidogo ambavyo havikuwatisha mataifa mengine by the time amekua na nguvu it was too late kumdhibiti mpaka kupelekea WW2. Chadema whether they like it or not kuanza katiba movement muda huu ilikua stupid movement, wangejijenga kwanza hasa baada ya uchaguzi kuisha then after a year or two wangekua washaseti strategies za kuanzia katiba movement. Look at them now wanapush hashtag ya #MboweSioGaidi na wanakosa mass support sababu ya kutojipanga
Dogo endelea kubet, hakuna inalojua kwenye siasa za bongo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom