Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia


Mchungaji aliyekufa ni fala. Waumini waliomzika na kutegemea miujiza nao ni mafala. Na hilo kanisa lao pia ni la kifala na wala sio kanisa. Toka lini mwanadamu anaweza kumjaribu Mungu wake akafanikiwa?
 
Hivi Gwaji Mzee WA warembo anaweza kujaribu hii?. Kuna mmoja Kahama alitaka akae na njaa siku 40 kama Yesu, alifia ya thelathini na kitu. Mambo ya Ki MUNGU yanafanyiwa majaribio na binadamu!.
Poor belief, kuna watu wanafunga zaidi ya siku 90(miezi mitatu) na Mungu kawatetea wako vizuri tu kiimani, kiakili, kiafya.


Wapo wengine waliofunga usiku na mchana(masaa 24 kwa siku) kwa zaidi ya siku 14 nao wapo hai.

Mungu yupo na anao watakatifu wake duniani.

Ila usisahau kuwa Manabii wa uwongo wapo, mwombe sana Mungu akupe hekima za kuwatambua na kuwaepuka.
 
Anaitwa nani mkuu. Nikamtafute YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…