Zambia: Mchungaji aliyeomba kuzikwa ili afufuke siku ya 3 kama Yesu akutwa amefariki dunia

Mchungaji wa kanisa la Zion amekufa baada ya kuzikwa hai
---

Mchungaji wa kanisa la Zion nchini Zambia James Sakara, aliyewaomba baadhi ya waumini wake wamchimbie kaburi na kisha wamzike akiwa hai kwa madai ya kwamba baada ya siku tatu angefufuka kama Yesu, amekutwa akiwa amefariki dunia.

Awali kabla ya maamuzi ya kuzikwa akiwa hai, baaadhi ya waumini wake walimkataza kufanya ujinga huo lakini baadaye, walijitokeza waumini wake watatu ambao waliamini madai yake ya kwamba angefufuka na kuamua kumzika na kwamba kabla ya kuzikwa aliwaambia waumini wake maneno haya.

"Fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi," alisema mchungaji huyo.

Imeelezwa kuwa mara baada ya kumkuta amefariki dunia, waumini hao walianza kumfanyia maombi ya kumfufua tena jambo ambalo halikuwezekana.

Hadi sasa Jeshi la Polisi nchini humo linaendelea kuwashikilia waumini waliomsaidia kumzika akiwa hai mchungaji huyo;

---

James Sakara, the pastor of a Zambian Christian church, was found dead after asking to be buried alive in the ground so he could come back to life in three days’ time, like Jesus…

To say that 22-year-old Sakara was overconfident in his ability to emulate the resurrection of Jesus Christ would be an understatement.

Be that as it may, the pastor of the Zion Church in the Zambian town of Chidiza managed to convince his congregation that he could in fact come back to life after three days, just like the Son of God.

He somehow got three members of his Church to assist him by digging a shallow grave, tying up his hands, and burying him alive, only instead of coming back to life after three days, Sakara was found dead by members of the Zion Church curious to see why their leader hadn’t fulfilled his promise.

Upon seeing their leader’s lifeless body, some members of the church attempted a series of “spiritual exercises” in order to resurrect him, but to no avail.

Trying to explain his decision to his flock, the young pastor, who was also a practitioner of traditional medicine, quoted scripture, saying that on the eve of his murder by Roman soldiers, Jesus’ words to his disciples – ‘do this in memory of me’ – referred to resurrection and not just imbibing wine and crunching unleavened bread.

As you can imagine, most members of Sakara’s congregation were reluctant to let him go through with his foolish stunt, let alone aide him, but eventually, three men came forward to assist the pastor with the burial.

One of them came forward, and two are currently wanted by police.

Bombastic stunts by dubious religious leaders are not unheard of in Africa. In years past, we wrote about pastors who claimed to have God’s phone number, or that could heal people by spraying bug spray in their face, and there was even one who staged elaborate resurrections that turned out to be fake.

But unlike these frauds, James Sakara was a victim of his misguided faith, and that sadly cost him his life. He left behind a young pregnant wife and many confused parishioners.
Imani bila kuwa na kiasi na uelewa wa kutosha ni changamoto kubwa sana
 
Bangi na ujinga vikichanganyikana haya ndiyo matokeo.
 
Kwa wenzetu ulaya, unafunguliwa mashtaka na majirani au waliozunguka eneo hilo, na unaweza kulipishwa fidia kubwa kwa kusbabisha KERO zisizokua na msingi, sababu kila mtu ana imani yake, na kistaarabu mnapoendesha misa inatakiwa iendeshwe kwa nidhamu na utulivu bila kusababisha KERO na USUMBUFU kwa wengine walio nje ya jengo lenu mnalolitumia kwa ibada zenu..sasa sisi wabongo ujinga na umaskini vinachangia haya mambo, unakuta sjui ni kanisa la kilokole Sauti kubwaa kama disko na tens Siku hizi nyimbo za Dini zimejeuka ndombolo basi ni kelele ntindo mmoja au msikiti unakuta mahubiri hadi kipaza sauti kimewekwa nje, sasa unajiuliza ya kazi gani mbona kama ujinga
Kwani utaratibu wa ulaya ndio utaratibu wa Mungu?
 
Hivi Gwaji Mzee WA warembo anaweza kujaribu hii?. Kuna mmoja Kahama alitaka akae na njaa siku 40 kama Yesu, alifia ya thelathini na kitu. Mambo ya Ki MUNGU yanafanyiwa majaribio na binadamu!.

Hahaha Gwaji Msanii tu yule....Anawaibia fedha misukule yake.
 
Huyuu jamaa alikosea kuhesabu siku kiuhalisia yesu hakufa siku tatu bali alikufa siku mbili: ijumaa-jmosi, jmosi-jpili. Daar mchungaji kapotea kwa kukosa maarifa
 
Kuna mjinga mmoja alitembea juu ya maji akafa.
Funga siku 40 bila kula kama ujafa.
Jesus ni habari nyingine kabisa
 
Kama unamjua uyu jamaa,

Hawa wachungaji wa kisasa matapeli watapata KAZI Sana kukushika Akili.

Uyu jamaa aliwahi kuzikwa hai, ata sikU tatu hazikufika tayar akafufuka

Uyu jamaa aliwahi kutembea juu ya maji

Uyu jamaa aliwahi kuficha tembo kwenye mfuko wa shati

Uyu jamaa aliwahi kusagwa na mashine ya mbao vipande vipande na akarudi kua hai bila hata kovu moja

Uyu jamaa aliwahi kubadili majani kua Pesa na akanunua bidhaa

UYU MWAMBA AKILI MINGI MNOView attachment 1902968
Anaitwa nani huyu?
 
Mambo kama haya ndio yanawafanya wazungu watufananishe na nyani aliyechangamka...
Siku utakayo jibu hili swali ndo utapata picha kamili kwanini wazungu wanatufananisha na nyani.

Hivi NYANI ni mnyama kama binadamu au binadam kama mnyama?
 
Back
Top Bottom