Zambia Kimenuka: Wananchi wapinga Mchina kuuziwa mali ya umma, barabara zafungwa

Utawasikia wakijishaua eti hao wazungu na pesa zao za masharti waende zao huko! Tutaelekea kwa "marafiki zetu" China ambao hawana masharti! Unajiuliza hawa watu wana ugonjwa wa akili au wana matatizo gani hawa? China ni ya kuogopwa kuliko ukoloni mkongwe wazee wetu waliomwaga damu kupigania uhuru! In fact approach ya China haina tofauti na enzi za utumwa if not worse!
Wazee wenu lin walipambana kk
 
20180906_175821.png

Rais wa Zambia akisujudiwa na kuabudiwa na Waziri wa serikali yake .
 
Zambia kwisha uwanja wao mkuu wa ndege unamilikiwa na wachina,shirika lao la umeme ni mali ya mchina,shirika lao la utangazaji pia ni la china sasa hadi shirika lao la misitu wanataka kuwapa wachina?!!??
 
Jaman chichote kinachotokea kwa jirani nasi tujifunze.wachina ni maadui si marafiki.viongozi wa africa ni maadui si marafiki.
 
Na wazambia wakiamua wanaweza, wanahistoria nzuri kuhusu maandamano.
 
Kwakufanya fujo na uharibifu!!!?
Akili zenu.. Mungu pekee ndie anawajua
Wakitetea mali ya taifa mnasema wanafanya fujo maviongozi majizi ya tanzania nayo yanapopora rasilimali za nchi na kuzificha huko n'gambo huwa mnakuwa kimya ila raia wema wakijaribu kukemea mnawapiga,kuwaua,au kuwafungulia kesi za uongo na kuwasweka jela!
 
Wakitetea mali ya taifa mnasema wanafanya fujo maviongozi majizi ya tanzania nayo yanapopora rasilimali za nchi na kuzificha huko n'gambo huwa mnakuwa kimya ila raia wema wakijaribu kukemea mnawapiga,kuwaua,au kuwafungulia kesi za uongo na kuwasweka jela!
Nimekuelewa. Kumbe ndio maana huku mnamtetea Umber Rutty kwani watu wenye tabia hizo ni rasilimali za chama chenu
 
Write your reply...tatizo katiba zetu zimewakabidhi nchi viongozi, wanajiamulia wenyewe bila kuwashilikisha wananchi. katika mambo makubwa kama uwekezaji ilikua ni lazima wananchi washilikishwe, sasa china inafahamu kua ukitaka kuinunua nchi nunua kiongozi. kwahiyo kutokana na mifumo yetu ya uongozi china ni mkoloni mpya afrika
 
Hapo kwenye kuwapa. Shirika la MISITU ndo nchi itabaki jangwa!! Ni moja.ya rasilimali inaypendwa sana na Wachina
 
Tanzania ni nchi ya amani na hatutaandamana ng'o, na tukiandamana basi ni kuunga mkono juhudi tu.
Sisi upole ndo asili yetu. Hata ukichukua 1.5 Trillions hazina tutakaa kimya, tutaunga juhudi.
Huku Bongo wameuzwa akina Faru Easter, wameuzwa Twiga, gesi, madini n.k hakuna walichokifanya wananchi zaidi ya kulaumu tu vijiweni.
Wanasiasa washawasoma nakuwajua nyie ni waoga hamuwezi Fanya chochote na ndio shida ya watanzania ni waoga kupindukia na wenzenu wanachukulia huo uoga kama advantage ya kufanya chochote watakacho
 
Maandamano makubwa yameibuka ambapo barabara ya Kitwe - Chingola imefungwa baada ya wananchi kupinga Shirika la misitu na mazao yake , ZAFFICO ( Zambia Forestry and Forest Industries Corporation ) kuuziwa Wachina kwa bei karibu na bure .

Mawe yametupwa barabarani na matairi yamechomwa moto , huku wanajeshi na raia wakipambana kufa na kupona .

View attachment 922169
View attachment 922170
View attachment 922171
View attachment 922172

View attachment 922352
Dola y'a zambia inasikitisha wachina wamewafanya km midoli
 
Wanannchi wa Zambia wanatofauti gani na wananchi wa huko kwenu Tanzania?
Wakati serikali yao ikikopa mapesa huko china wananchi hao hao ndio walikua wanapiga makofi,mbinja na vigelegele kwenye mikutano ya hadhara na ndicho kinachofanyika huko Tanzania subirini na nyie kuuzwa
 
Back
Top Bottom