Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 837
- 622
Ni kwel mkuu AU hakuna chochote ilcho fanikiwa Bora at SADC imefanikiw wa2 tuna move free from Tz -Zambia _Nyanza Macambique...Hata AU ni wa viongozi kula bata na kujilinda hauna faida kubwa kwa wananchi kama ilivyo kwa wenzetu wa EU.