Zambia-an interesting country!

Zambia-an interesting country!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,218
Reaction score
14,817
ina ukubwa wa km za mraba 752 617 tofauti siyo kubwa sana na tanzagiza km za mraba kama 947 000, zambia ina watu milioni 20 tu vs tanzagiza zaidi ya milioni 60, hivyo zambia ni tupu kabisa, na 95% Christians vs <3% muslims hivyo unaweza kusema is defacto a Christian nation.

zambia ina kila sababu ya kuwa nchi yenye maendeleo makubwa sana lkn hakuna, sababu inaweza kuwa ni nini?

well ni communism, baada ya uhuru raisi kaunda aliacha capitalism iliyojenga zambia kupitia successful copper mining akafwata communism, alitaifisha copper minning matokeo yake production ikashuka na kudorora zimbabwe style na soon ak na anc inafwata …
 
Siku nyingine ukitaka kuleta taarifa fanya uchambuzi kikamilifu na sio kutuletea matango pori. Hivi unafahamu migodi ya shaba kwa sasa inamilikiwa na nani?
 
Back
Top Bottom