Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,068
- 1,331
kwa dola 50,000Flambeu kauza mechi
Ndio kama mwenyeji anasimamia kila kitu kuanzia usafiri wa kwenda na kurudi +kambi na bado wanapata $50000kwa dola 50,000
Kiingereza hiki ungeachana nacho.These is Africa football , political football and in deed corruption
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
kimahesabu wako sawa,maana wangecheza chamazi mapato na gharama za mchezo sidhani km wangepata hata nusu ya hy helaNdio kama mwenyeji anasimamia kila kitu kuanzia usafiri wa kwenda na kurudi +kambi na bado wanapata $50000
Kinaeleweka sana sema una pepo LA ualimu.Kiingereza hiki ungeachana nacho.
Bora Pepo la ualimu kuliko Pepo la upiga chabo ulilonalo.Kinaeleweka sana sema una pepo LA ualimu.