Zama zimebadilika asee

Labda amewawekea kimbola hao wanaume wake...Wanawake mnaona faida gani kuwa na wanaume wengi???
 
Sawa, izi tabia za wanawake zinanifanya nisimtegemee KE kwa kila kitu, kamwe ntasimamia dhamiri yangu, wanawake ni mashetani, uwezi msaidia mtu ukamtangaza kwa watu, mbona sisi hatufanyi ivo, wanawake wana roho mbaya sana,... Na siwez kua na mmoja kamwe!
 

Hata motoni watakua wengi kuliko sisi wanaume..iko hivyo..ni mama zetu lakini akili zao ni mtihani Kwa kweli.
 
anatafuta kiki na yeye aonekane kaongea na alowaweka ni mabinam zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…