Zali la mentali

nimepata funzo katika story hii ngoja nimwambie ukweli baby kama mm ni mdananda na marioo wa mjini sio mfanya biashara na mwekezaji mkubwa nchin ktk viwanda kama nilivyomdanganya na mm niwe na zali kama hili
 
Duuu mfilipino wa uyole umetisha,kama nakuona unazibua na vile vyoo vya makasini pale.
Jf kuna mambo!
Pyaaaa umenichekesha uyole [emoji38] naomba nikuletee parachichi
Afu huyo yupo pale p square
 
Zali halina mentali ila Mentali ndio Ana Zali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…