Zahaa ndani ya Arsenal the Gunners

Joined
Nov 29, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Arsenal the Gunners kupitia kwa msemaji meneja wao Arsene Wenger imethibitisha kuwa ipo katika mazungumzo na mshambuliaji kinda wilfred zaha wa klabu ya crystal palace yenye makazi yake huko nchini Australia, klabu hiyo imethibitisha kumwania kinda huyo mwenye miaka 18 ili kuandaa kuziba pengo la mchezaji Theo Walcott ambaye ameonekana kusuasua katika kusaini mkataba mpya na klabu iyo ya Arsenal.
 
crystal palace iko south east ya london nchini england mwana karibu sana na kitongoji cha croydon na crystal palace. The nearest train station inaitwa selhust station uwanja wa nyumbani selhust park

hapo kwenye australia palekebishe ila ujumbe tumeupata

ngoja niende bar nikawaangalie tottenham mie

 
Duh!! Inaonekana kama jamaa ni mfuatiliaj wa EPL, lakini Crystal Palace iko Australia!! What a slippage!!
 
Duh!! Inaonekana kama jamaa ni mfuatiliaj wa EPL, lakini Crystal Palace iko Australia!! What a slippage!!

Huyu dogo anacheza Championship kule anajituma sana pale mbele na yule mchizi mwingine anaitwa GLENN MURRAY. HOPE NEXT SEASON WATAKUA EPL

DROGBA ALIMSHAWISHI AKIPIGIE IVORY COAST DOGO AMEKATAA KACHAGUA ENGLAND
 
Ndo wajukuu wa wenger anaoletewa alee! Kazi anayo wakijua tu kujichamba haooo nduki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…