I wish kujua zaid kwa sababu navyojua mimi cummis ni Engine inafungwa kwa scania 124 (420) inakuwa na pump ya umeme very powerful and high speed monster!!!!!
Hawa jamaa wa Yutong ni wajanja kweli body za kichina lakini power terrain ni ya US. Wanatumia engine za Cummings, which is one of biggest and best engine makers duniani. Mara kadhaa nimepanda haya magari and I was impressed ingawa Scania ndio definition ya buses and lorries duniani
Mama Preta, kweli wanakuchanganya, ila n kwamba yote haya n magri toka Toyota, tofauti n matoleo na viongezeo via design, lakin kumbuka kwamba. Kila company ya kawaida inakuwa na luxury company. Mfano. TOYOTA ndugu yake N Lexus, Nissan ndugu yake n Infinit, VW ndugu yake n Aud n.k
Jifunzeni: marcopolo, irizar, buscar n.k ni body builders wa ma bus na hutumia engines za scania, benz, volvo n.k. kamwe huwezi kulinganisha ubora wa hayo mabasi na yutong au zhongton. na ndio maana yanabei na yanadumu na ni confortable.
Mabasi mengi ya yutong na mengine ya kichina mda huu wameamua kuweka engine za scania kutokana na ushindani wa abiria hasa wa muda. Watanzania hawataki kushinda barabarani jambo ambalo kwa mwendo wa yutong hauwezi kuendana na scania
Mabasi mengi ya yutong na
mengine ya kichina mda huu wameamua kuweka engine za scania kutokana na
ushindani wa abiria hasa wa muda. Watanzania hawataki kushinda
barabarani jambo ambalo kwa mwendo wa yutong hauwezi kuendana na
scania