Yupo wapi ndugu Bashiru Ally Kakurwa?

Gypsum Screw

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
1,405
Reaction score
1,600
Jana nilikua napitia hafla ya kukabidhi ripoti ya ukaguzi wa mali za chama kinachotawala kutoka kwa katibu mkuu wa chama hicho kwa wakati huo kwenda kwa mwenyekiti wake.

Nimekumbuka mbali na mengi sana. Hivi ndugu yetu mwalimu Bashiru Kakurwa yuko wapi? Amerudi darasani kupiga pindi au ndio kapigwa pini?
 
Yupo kwenye bunge fake anapiga pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…